Kuhusu Sisi

NJIA ZA MALIPO

AMANA BANK: 
Tshs: 001120024610001
USD: 00112002461002

PBZ BANK:
Tshs: 0370157000
USD: 0450705000

CRDB BANK:
Tshs: 01J1024740300
USD: 02J1024740300

GHARAMA ZETU

HIJJA:
DOLA 6,100

KUHIJIWA:
DOLA 2,500

UMRA YA RAMADHANI
DOLA 3,000

VIONGOZI WATENDAJI

Muhyidinn
Dr. Muhyiddin Ahmad
(Maalim Siasa)
Mwenyekiti
Khatib
Alhajj Muhammad S. Khatib
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango
Rajabu Kirahi
Alhajj Rajab O. Kirahi
Mweka Hazina

OFISI YETU NA MATAWI YAKE

Taasisi yetu makao makuu na matawi mawili kama ifuatavyo:

Unguja

ZANZIBAR

Hapa ndipo makao makuu ya Taasisi ya Ahlu Sunna Wal Jamaa Hajj and Umra Trust

Ofisi hii inaongozwa na Dr. Muhyiddin Ahmad (Maalim Siasa).



Ofisi hii inapatikana Madrasat, Rahaleo, Nyuma ya Jengo la Radio Zanzibar.




Mawasiliano: +255 777 468 018

Bofya kututafuta Google Maps

PEMBA

Hili ni tawi la Taasisi ya Ahlu Sunna Wal Jamaa Hajj and Umra Trust

Ofisi hii inaongozwa na Ustadhi Mohamed Said.



Ofisi hii inapatikana Sea View Hotel, Machomane, Chake Chake.




Mawasiliano: +255 773 222 452

Bofya kututafuta Google Maps
Pemba 2
IMG_20220711_091552_785

DAR ES SALAAM

Hili ni tawi la Taasisi ya Ahlu Sunna Wal Jamaa Hajj and Umra Trust

Ofisi hii inaongozwa na Alhajj Rajab O. Kirahi.



Ofisi hii inapatikana Kariakoo, Barabara ya Lumumba, Jengo la Saba General Ent. Ltd, Ghorofa ya tatu, Pembeni ya PBZ Bank Lumumba.




Mawasiliano: +255 683 655 621

Bofya kututafuta Google Maps

KWANINI UTUCHAGUE SISI

Taasisi yetu imekuwa na huduma bora inayoendelea kukua kila mwaka, ubora wa uendeshaji huduma, timu ya wataalam, upatikanaji wa msaada wakati wote, matokeo bora ya kuridhishwa kwa huduma kutoka kwa wateja wetu na utayari wa kukusikiliza na kukushauri inapohitajika.


UBORA WA UENDESHAJI HUDUMA

Kwa zaidi ya miaka 13 tumekuwa tukihakikisha ubora wa huduma ndiyo kipaumbele chetu. Baadhi ya uboreshaji umehusisha uandaaji wa semina kabla y kwenda hijja, ugawaji wa vitabu na vipeperushi kuhusu hijja na megine zaidi.

Bonyeza kujua zaidi
TAASISI INAYOENDELEA KUKUA KILA MWAKA

Taasisi yetu imeendelea kukua na kuwafikia wateja wetu kwa ukaribu zaidi. Kupitia ofisi zetu zilizopo Zanzibar, Pemba na Dar es Salaam, tumeendele kuhakikisha tunakufikia kwa ukaribu na kukudumia kwa urahisi zaidi. Hii ni pamoja na kukuwezesha kuanza safari za ndege kutokea maeneo matatu ( Zanzibar, Pemba au Dar es Salaam). Kupata usafiri wa uhakika ndani ya Saudia Arabia. Pia, mawakala wetu waliopo mikoani wamekuwa msaada katika kufanikisha huduma zetu kuendela kukua na kukusogelea karibu zaidi.

Bonyeza kujua zaidi
TIMU YA WATAALAM KWENYE HUDUMA

Kila wakati tumehakikisha kuwa na wafanyakazi wenye utayari wa kukuhudumia kwa ubora. Wataalam wetu watakuwa nawe bega kwa bega kwenye hatua zote hapa Tanzania na ukiwa Saudia Arabia. Wataalam watakuelekeza yote upaswayo kuyafahamu wakati wote wa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari yako.

Bonyeza kujua zaidi
USHAURI WA KITAALAM

Mbali na kuwa na ubaora wa huduma kwa muda wote huu, tumekuwa washauri wazuri kwa wateja wetu kipindi chote. Karibu kupata suluhu ya changamoto yako kuhusu huduma za Hijja na Umra wakati wowote. Tunaahidi kukupokea kwa mikono miwili na kukusaidia kukushauri kitaalam.

Bonyeza kujua zaidi
HUDUMA YA MSAADA WAKATI WOTE (24/7)

Huduma zetu zinaambatana na kuhakikisha tunasogeza ukaribu baina yetu na wateja wetu wakati wote. Hivyo, unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zetu, WhatsApp, Facebook au Instagram wakati wowote. Pia, unaweza kutembelea YouTube Channel yetu wakati wowote kujionea matukio mbalimba

Bonyeza kujua zaidi
HUDUMA ZENYE KURIDHISHA

Kwa zaidi ya miaka 13 sasa tumekuwa tukikusanya maoni na mrejesho kutoka kwa wateja wetu ili kuhakikisha ubora wa huduma ndiyo kipaumbele kila wakati. Wateja wetu wamekuwa wakiridhisha na huduma na uboreshaji kila wakati inapotubidi kufanya hivyo. Karibu ufuraie huduma bora za Hijja na Umra.

Bonyeza kujua zaidi
1+
JUMLA YA IDADI YA SAFARI ZA HIJJA NA UMRA HADI SASA
1+
IDADI YA MAHUJAJI TULIOWAHUDUMIA HADI SASA KWA HIJJA NA UMRA
1+
JUMLA YA IDADI YA VIONGOZI NA WAFANYAKAZI
1+
JUMLA YA MIAKA YA UZOEFU YA HUDUMA ZA HIJJA NA UMRA
Scroll to Top