-
Msaada katika kupata Pasi ya kusafiria.
-
Usafiri wa ndege kwenda Saudia Arabia kutokea Dar es Salaam, Unguja na Pemba. Usafiri wa ndege kurudi kutoka Saudia Arabia hadi Dar es Salaam, Unguja na Pemba.
-
Usafiri wa ndani ukiwa Saudia Arabia.
-
Nyumba za kuishi ukiwa Saudia Arabia zilizopo karibu na Misikiti Mitakatifu.
-
Kupatiwa mahema ya kulala ukiwa Mina na Arafa.
-
Kuchinjiwa mnyama wa udhihia kisheria.
-
Uongozi madhubuti katika kutekeleza Ibada ya Hijja na Umra.
-
Kila mmoja kupatiwa vitabu, vipeperushi na semina za Hijja.
-
Kufanya ziara kwenye maeneo matakatifu na ya kihistoria (Madina, Makka na Badri).
-
Huduma ya chakula kwa kila mtu (kutwa mara tatu) kwa utaratibu wa BUFFET na vyakula maalumu kwa wagonjwa (Special Diet).
-
Upatikanaji wa huduma bora za matibabu wakati wote wa safari.
-
Kila mmoja kupatiwa mabegi maalumu ya kusafiria.
-
Ugawaji wa khanga kwa wanawake, na Ihram kwa wanaume na wanawake.
-
Kila mmoja kupatiwa zawadi ya maji ya Zamzam.
-
Upatikanaji wa WHEEL CHAIR kwa maombi.