Huduma Zetu

HUDUMA ZETU

  • Msaada katika kupata Pasi ya kusafiria.
  • Usafiri wa ndege kwenda Saudia Arabia kutokea Dar es Salaam, Unguja na Pemba. Usafiri wa ndege kurudi kutoka Saudia Arabia hadi Dar es Salaam, Unguja na Pemba.
  • Usafiri wa ndani ukiwa Saudia Arabia.
  • Nyumba za kuishi ukiwa Saudia Arabia zilizopo karibu na Misikiti Mitakatifu.
  • Kupatiwa mahema ya kulala ukiwa Mina na Arafa.
  • Kuchinjiwa mnyama wa udhihia kisheria.
  • Uongozi madhubuti katika kutekeleza Ibada ya Hijja na Umra.
  • Kila mmoja kupatiwa vitabu, vipeperushi na semina za Hijja.
  • Kufanya ziara kwenye maeneo matakatifu na ya kihistoria (Madina, Makka na Badri).
  • Huduma ya chakula kwa kila mtu (kutwa mara tatu) kwa utaratibu wa BUFFET na vyakula maalumu kwa wagonjwa (Special Diet).
  • Upatikanaji wa huduma bora za matibabu wakati wote wa safari.
  • Kila mmoja kupatiwa mabegi maalumu ya kusafiria.
  • Ugawaji wa khanga kwa wanawake, na  Ihram kwa wanaume na wanawake.
  • Kila mmoja kupatiwa zawadi ya maji ya Zamzam.
  • Upatikanaji wa WHEEL CHAIR kwa maombi.

AHADI YETU

mazingira mazuri ya IBADA YAKO WAKATI WOTE
Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s, when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book.
KUIJALI AFYA YAKO WAKATI WOTE
Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s, when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book.
KUIJALI FURAHA YAKO WAKATI WOTE
Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s, when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book.

KINACHOTUFANYA KUWA BORA

TUNAJALI IBADA YAKO

Ukiwa Madina na Makka, utaishi kwenye nyumba karibu na misikiti mitakatifu. Utachinjiwa mnyama wa udhihia kisheria. Uongozi madhubuti katika kutekeleza ibada za HIjja na Umra. Tunatoa Ihram kwa wanaume na wanawake, pamoja na Khanga.

TUNAJALI AFYA YAKO

Tunatoa matibabu bora wakati wote ukiwa safarini na Saudia Arabia. Upatikanaji rahisi wa "Wheel Chaiir" kwa maombi. Upatikanaji wa chakula bora (milo mitatu kwa siku) kwa utaratibu wa "Buffet" na vyakula maalum kwa wagonjwa (Special Diet).

TUNAJALI FURAHA YAKO

Tunahakikisha kuwa safari yako kuwa yenye furaha kila wakati. Tunakupatia begi moja la kusafiria, zawadi ya maji ya Zamzam, tunakupatia mahema (tents) yenye ubora unapokuwa Mina na Arafa. Utafanya ziara sehemu takatifu na za kihistoria (Madina, Makka na Badri).

1+
JUMLA YA IDADI YA SAFARI ZA HIJJA NA UMRA HADI SASA
1+
IDADI YA MAHUJAJI TULIOWAHUDUMIA HADI SASA
1+
JUMLA YA IDADI YA WAFANYAKAZI
1+
JUMLA YA MIAKA YA UZOEFU
Scroll to Top